Loading...

Wednesday, January 16, 2008

Kigali: Tidy City/Jiji Safi!

Hali ya usafi jijini Kigali ilisababisha baadhi ya wabongo tuliozoea kutupa takataka hovyo tujione tuko kifungoni. Sijui nini siri ya usafi huu - je, ni utamaduni wa usafi au hali ya utii wa sheria?

The cleanliness around Kigali caused some of us from Tanzania, who are so used to littering, feel we are in jail. What is Kigali's secret- is it culture or the rule of law?

1 comments:

Mugisha Philip Bisanda January 21, 2008 at 4:26 PM  

I think it's the rule of law which has eventually transformed into a culture. It's more or less like raising up children. In most cases, the rules at home are what actually dictate the child's behaviour even at adulthood.

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP