Loading...

Monday, March 3, 2008

Inawezekana?

Ujumbe katika bango hili la kampeni dhidi UKIMWI unanikumbusha riwaya ya 'Is it Possible?'

Je, tunaweza kupima, kupanga & kuishi na VVU bila kuwa na UKIMWI?

Je, tunaweza kuwa na Tanzania bila MARADHI kabla ya kuwa na Tanzania bila UMASKINI na UJINGA?

1 comments:

Anonymous March 3, 2008 at 3:24 PM  

Chambi,
Kila kitu kinawezekana kwa kutimiza wajibu.Hata Mwalimu alisema 'It can be done, play your part' Naamisha ni vyema kupunguza siasa katika utekelezaji wa mambo muhimu katika mustakabali wa taifa letu.
Ukiangalaia kwa undani siasa imevuruga nchi hii kwa kiasi kikubwa badala ya kujenga

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP