Loading...

Tuesday, April 15, 2008

Kata Mti Panda Mti

Yule mshindi wa Nobeli, Mwanamazingira Profesa Wangari Maathai alikutana na wadau mbalimbali wa Tanzania hivi karibuni. Nilimwona kwenye vyombo vya habara akieleza kwa hamasa jinsi alivyoguswa kwa kuona mti unaotengeneza vinyago kwa mara ya kwanza. Sijui tumejifunza nini kutoka kwa mwanaharakati huyo mwenye rekodi ya aina yake katika kupanda miti. Je, milima mizuri kama huo unaoonekana pichani itadumu kama tutakata miti bila kuzingatia ile kaulimbiu ya 'kata mti panda mti'?

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP