Loading...

Friday, September 5, 2008

Kujifunza Kiingereza au Kasumba ya Kikoloni?

Ni jambo ka kupendeza tena la kuvutia sana kuona shule ya Msingi hii katika Kijiji cha Maore huko Gonja katika Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro ikiwa na michoro ya wazi yenye kutoa elimu kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla. Mdadisi wetu anajiuliza inakuwaje ujumbe ulio katika michoro hiyo unakuwa kwa lugha, historia na hata majina ya kigeni? Je, mtoto aliyezaliwa na kukulia katika kijiji ambacho shule hiyo ipo anawezaje kuoanisha kwa urahisi historia ya familia yake na historia ya familia ya 'Dakta Siagiuwanja' na mkewe 'WaridiMaria'?

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP