Loading...

Saturday, April 25, 2009

Uzinduzi wa Kitabu Kuhusu Haki za Ardhi kwa Wanawake & Ubinafsishaji/Introducing a Book on Women's Land Rights & Privatization - 30/04/2009

Wachapishaji wa Vitabu wa E & D wanazindua kitabu kinachohusu haki za ardhi kwa wanawake na ubinafsishaji siku ya Alhamisi, tarehe 30 Aprili 2009, kuanzia saa 10: 30 alasiri hadi saa 12: 30 jioni. Uzinduzi huu wa wazi utafanyika katika Mkahawa wa Vitabu wa Soma. Kutakuwa na mdahalo utakaofuatiwa na mjadala wa wazi. Mdahalo utawahusisha Mwenyeketi wa Kamati Maalumu ya Ardhi na Jinsia (GLTF), Dakta Magdalena Rwebangira na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Haki za Ardhi (LARRRI/HAKIARDHI), Dakta Ng'wanza Kamata. Katibu Mtendaji wa Agenda Participation (AP2000), Moses Kulaba, ataratibu mdahalo huu na kuwezesha mjadala utakaofuatia.
--------------------------------------------------------------
E & D Publishing Vision is introducing the Book Women's Land Rights and Privatization in Eastern Africa on Thursday, 30 April 2009 from 4:30 - 6:30 pm. The public event will take place at Soma Book Cafe. It will feature a panel discussion followed by a plenary session. The panelists will include the Chairperson of the Gender Land Task Force (GLTF), Dr. Magdalena Rwebangira and the Board Chairperson of the Land Rights Research and Resources Institute (LARRI/HAKIARDHI), Dr. Ng'wanza Kamata. Moses Kulaba, the Executive Secretary of Agenda Participation (AP2000), will moderate the panel discussion and facilitate the plenary session.

3 comments:

Anonymous April 27, 2009 at 11:42 AM  

Ahsante sana Chambi for organising this exciting event. As co-editors of the book, Birgit and Elizabeth are both very sorry we will be unable to attend. We wish you an interesting and successful panel discussion and plenary session and look forward to hearing the outcome later on. Thank you.

Anonymous May 5, 2009 at 8:45 AM  

Hi. Where can this book be bought? Unfortunately I missed the launch.
Greetings Pernille

Chambi Chachage May 5, 2009 at 9:04 AM  

Hello Pernilla. You can get a copy at Soma Book Cafe, there is a bookshop there. The map and contacts of the place appear in the links above. You can also call 0754275347 for more information.

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP