Loading...

Saturday, April 4, 2009

Wanazuoni Get Together/Mjumuiko wa Wanazuoni - 07/04/2009: Welcome/Karibu!

--------------------------------------------------------------------------------

Where: Soma Book Cafe - Mlingotini Closure, Off Reagent Street Off Chato Street, Mikocheni
When: Tuesday, 7 April 2009, 2 - 5 pm
Who:
Wanazuoni and Friends of Wanazuoni
What:
1. Watching the Documentary 'A Golden Opportunity? How Tanzania is Failing to Benefit from Gold Mining'
2. Anticipating the
Mwalimu Nyerere Intellectual Festival Week through co-organizing a Side Event
3. Reviewing the
'Makumbusho Declaration' and using it to chart a Way Forward

--------------------------------------------------------------------------------

Wapi: Mkahawa wa Vitabu Soma - Mzingo wa Mlingotini, Kando ya Barabara ya Reagent Kutoka ya Chato, Mikocheni
Lini: Jumanne 7 Aprili 2009, 8 Mchana/Alasiri - 11 Jioni
Nani:
Wanazuoni na Marafiki wa Wanazuoni
Nini:
1. Kutazama Filamu fupi ya 'Je, Ni Nafasi Adimu? Jinsi Gani Tanzania Haifadiki na Uchimbaji wa Dhahabu'
2. Kujiandaa na
Juma la Tafakuri ya Mwalimu Nyerere kwa kuandaa Tukio la Pembeni
3. Kulipitia
'Azimio la Makumbusho' na kulitumia kutafakari nini kifanyike siku zijazo

--------------------------------------------------------------------------------
For more information contact/Kwa maelezo zaidi wasiliana na: Chambi Chachage - 0754771763/chambi78@yahoo.com
--------------------------------------------------------------------------------

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP