Loading...

Monday, January 25, 2010

Wosia wa Baba/The Father's Farewell!

"Not all of us will have the same concept of community, but all of us have a need to belong. However socially insensitive we may be, we have a need to belong to a community of fellow human beings. No human being can make it alone. Nobody is asking us to love others more than we love ourselves; but those of us who have been lucky enough to receive a good education have a duty also to help to improve the well being of the community to which we belong; is part of loving ourselves!” - Mwalimu Julius Nyerere, Open University, 5 March 1998

'Si kila mmoja wetu atakuwa na dhana sawa kuhusu jamii, lakini sisi sote tuna hitaji la kuwa katika jamii. Hata kama hatuguswi na masuala ya kijamii sisi wote tunahitaji kuwa sehemu ya jamii ya wanadamu. Hakuna mwanadamu anayeweza kufanikiwa mwenyewe. Hakuna mtu anayetutaka tuwapende wengine zaidi ya tunavyojipenda wenyewe; lakini baadhi yetu tuliobahatika kupata elimu nzuri tunawajibika kuboresha ustawi wa jamii tunamoishi; hiyo ni sehemu ya kujipenda sisi wenyewe!' - Mwalimu Julius Nyerere, Chuo Kikuu Huria, 5 Machi 1998

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP