Loading...

Thursday, August 12, 2010

Soma Poetry Night/Jioni ya Mashairi - 13/08/10

Soma Book Café is inviting you to an exciting and insightful poetry session.
We welcome poets and poetry lovers to come and listen or participate in the recitals.
Bring a poem to recite - your own or any other you love.
The subject is “Personal Accountability” – it is always good to begin by looking from within isn’t it?
If you are interested in reciting contact us, so that we include you in the program.
Please note that we welcome poems in Kiswahili and English languages.


Mkahawa wa Vitabu Soma unapenda kukukaribisha katika jioni ya mashairi ya kusisimua.
Tunakaribisha washairi na wapenda mashairi pia kujiunga nasi kughani au kusikiliza.
Mada ni "Uwajibikaji binafsi."
Kama ungependa Kushiriki kwenye kughani tafadhali wasiliana nasi ili tukujumuishe kwenye ratiba.
Mashairi yanakaribishwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza .

DATE
: 13th August 2010
TIME: 18h00
VENUE: Soma Book Café
Contacts: info.soma@infinet.co.tz or 0784 806 806

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP