Loading...

Thursday, October 7, 2010

PICHA ILIYONIKERA/SIKITISHA SANA JANA!

Ipo ukurasa wa 4 wa gazeti la Mwananchi la jana - Ina maelezo haya:

"Mwanasheria Mkuu wa Zamani, Andrew Chenge (Kushoto), akitoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Jijini Dar es Salaam baada ya kesi yake ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha vifo vya watu wawili kuahirishwa jana. Kulia ni Mazifa Kambi, mama mzazi wa marehemu, Vicky George aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo. Picha na Zacharia Osanga".

Labda ni macho yangu au mpiga picha alikosea ila tofauti inayoonekana kwenye sura za 'Mtuhumu' na 'Mtuhimiwa' inasikitisha sana!

2 comments:

John Mwaipopo October 7, 2010 at 4:09 PM  

na mimi nilioona. ikanipa taabu. nikajisumbua kuichunguza. nikagundua hiyo ya chenge imepandikizwa kwa hiyo nyingine ili kupeleka 'ujumbe' fulani. take trouble kuichunguza vema.

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP