MATOKEO YA JIMBO LANGU LA UCHAGUZI
Hatimaye John Mnyika ametangazwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo la Ubungo. Matokeo yalicheleweshwa kutangazwa kupita kiasi bila sababu ya msingi. Wadau wa mgombea huyu walikesha juzi na jana usiku kuhakikisha kura hazichakachuliwi hasa ukizingatia kulikuwa na madai ya kufanyika kwa kitendo hicho katika uchaguzi wa 2005. Juhudi zao zimezaa matunda 2010.

5 comments:
Shukran Chambi kwa update hii muhimu.
Thx a lot!
Mdee vipi huko Kawe?
Jimbo jirani la Kawe bado hatawajatangaza matokeo rasmi, kuna madai kuwa wanasuburi ripoti ya idadi za kura za Mbezi Juu!
SAAAAAAAAAAFI KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Nimefarijika sana pia kwa Mnyika kushinda; ni mategemeo yangu kuwa atasaidiana na wananchi wa jimbo lake kuleta mabadiliko.
Post a Comment