Loading...

Sunday, March 13, 2011

SAFARINI LOLIONDO/VISITING LOLIONDO

Mwanablogu wa Udadisi yupo Arusha (tazama picha hapo juu) njiani kwenda Loliondo. Mtazamo wake wa awali wenye kichwa cha habari 'What Makes Loliondo Treatment Tick', yaani, 'Kinachoifanya Tiba ya Loliondo Ivutie' utatoka hivi karibuni kwenye gazeti la The Citizen. Alfajiri anapanda basi maarufu la Loliondo.

Udadisi blogger is in Arusha (see picture above) on his way to Loliondo. His preliminary views entitled 'What Makes Loliondo Treatment Tick' is soon to appear in The Citizen. At dawn he boards the now famous Loliondo bus.

(Picha/Picture: Kaloleni, Arusha Leo/Today)

1 comments:

Idda Paul March 14, 2011 at 7:13 AM  

Nakutakia kila la heri na nasubiri taarifa kirefu. Hata hivyo umetupa taarifa muhimu sana ya gharama za usafiri ambazo zitatusaidia kujiandaa vyema kuliko kuja kukwama njiani kwa kukosa nauli ya kutosha.

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP