Loading...

Tuesday, April 26, 2011

GENDER FESTIVAL/TAMASHA LA JINSIA 2011

Greetings! Salaam!

Dear Members, partners and supporters of the African Feminist Movement,

Tanzania Gender Networking Programme (TGNP) and Feminist Activist Coalition (FemAct) are pleased to announce the 10th Gender Festival which will focus on Land, Labour and Livelihoods within the broad theme of Gender, Democracy and Development. The Festival will take place from the 13th – 16th September 2011.

Please find the documents for more information. Kiswahili versions to be available soon!
Wapendwa wanaharakati, wanamtandao na marafiki wote katika vuguvugu la kupigania haki za binadamu na usawa wa kijinsia na ukombozi wa wanawake kimapinduzi,

Mtandao wa Mashirika Watetezi wa Haki za Binadamu, Usawa wa Kijinsia na Ukombozi wa Wanawake Nchini Tanzania (FemAct) na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) tunayo furaha kubwa kutangaza rasmi Tamasha la 10 la Jinsia ambalo kwa mwaka huu litahusu Ardhi, Nguvukazi & Maisha Endelevu ndani ya mada pana ya Jinsia, Demokrasia na Maisha Endelevu. Tamasha la Jinsia mwaka huu litafanyika kuanzia tarehe 13 hadi 16 Septemba 2011.

Naambatanisha nakala kwa ajili ya taarifa zaidi. Nakala za Kiswahili zitafuata!

Eluka Chelu Kibona
Gender Festival Coordinator/Mratibu wa Tamasha la Jinsia

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP