Loading...

Monday, June 6, 2011

The State of the then NAFCO, NARCO and Absentee Landlord's Farms/Ranches in Tanzania

Access the report co-authored by Chambi Chachage and Richard Mbunda through the link below:
http://hakiardhi.org/HakiArdhi/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=75&Itemid=80

2 comments:

Baraka Mfunguo June 6, 2011 at 1:28 PM  

Mkuu nashukuru kwa taarifa nzuri yenye vielelezo wazi na kueleweka. Hapa nashauri iwepo haja hata ya machapisho haya kutolewa kwa lugha ya kiswahili ili jamii nayo ishiriki na kupata uelewa. Yapo mambo mengi ambayo viongozi wetu wametumia mwanya wa lugha ya kiingereza kuwalaghai wananchi. Jamii ikiweza kufahamu tulipo tulipotoka na tunakoelekea itakuwa ni changamoto kubwa kwa uongozi ili kuboresha utendaji.

Chambi Chachage June 8, 2011 at 6:05 AM  

Naam,huwa kuna jitihada za kutafsiri hizi ripoti kwa Kiswahili ila bado tuna safari ndefu - tujitahidi kuongeza nguvu zaidi kushinikiza zitafsiriwe na mashirika husika na sisi tujitolee pia kuzitafsiri kwa lugha rahisi!

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP