Loading...

Thursday, June 23, 2011

TAMASHA LA KUADHIMISHA MIAKA 3 YA SOMA!

RATIBA

4:00 Asubuhi - 10:00 Jioni

Ratiba ya Watoto na Vijana
-Kucheza na maneno, semi, hadithi, methali, mashairi, n.k
(Mashindano, Uvumbuzi, Chemsha bongo, n.k)
-Maonyesho ya kazi za fasihi na sanaa za watoto jukwaani
(Ukitaka kushiriki njoo na kazi uliyokwisha andaa)
-Kona ya uandishi wa fasihi-hadithi, mashairi, nk-kwa watoto
(Leta kazi unayotaka kuiboresha)

10:00 Jioni - 3:00 Usiku
Ratiba ya Vijana Wakubwa na Wazee
- Muziki, Ushairi wa jukwaani, na sanaa nyingine za maonyesho
-(Watakuwepo Man Kifimbo wa Bagamoyo, Rebel Sons, n.k)
-Pia kutakuwa na fursa ya washiriki kuonyesha vipaji vyao vya fasihi na sanaa jukwaani

Vitabu, Chakula, na Vinywaji Vitauzwa Dukani na Kaunta

Mlingotini Close, Kitalu No 53, Mtaa wa Regent, Dar es Salaam

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP