Loading...

Thursday, June 2, 2011

Unalikumbuka Baraza Hili la Mawaziri Vijana?

4 comments:

kateBomz June 7, 2011 at 5:13 PM  

One thing stuck out to me..their ages..all young and able..whats ailing us now? why are we so enamored by the 1 or 2 under 35year olds we have...whilst it was indeed the norm in our first cabinet!?

Bahati M June 7, 2011 at 10:42 PM  

Duh!!..hii imekaa vizuri, hata rangi ya hilo gazeti, kizamani zamani..hah!!

Kwa ninavyoona, hili la mawaziri kuwa na umri mdogo/ vijana linaweza kuwa pia lilichangiwa na kuwa, ni watu wachache walikuwa wasomi kipindi hicho. Sasa wale ambao walikuwa na elimu, regardless ya umri wao, walipewa ofisi.

However, siku hizi kuna tamaduni mpya, sio kwamba hakuna vijana wasomi wanaoweza kupewa wizara, lakini, hizo politics zake sasa. Sijui wazee wameng'ang'ani ili waendelee kuchuma, au wanaogopa kuachia ngazi kwa uoga wa kupelekwa mahakamani..hapo sasa

Chambi Chachage June 8, 2011 at 6:30 AM  

Ujana ni muhimu. Ila sio mwarobaini (panacea). Kama ungekuwa hivyo tusingekuwa na viongozi vijana walio mafisadi. Tunachohitaji ni siasa safi na uongozi bora - yaani uadilifu katika, na miiko ya, uongozi.

Kitoto June 22, 2011 at 3:19 PM  

Kilichosaidia enzi hizo ilikuwa "upya" maana Afrika ndo ilikuwa imetokana na Wazungu kwahiyo ukiwa mwadilifu unaongoza. Leo mpaka ufikie ngazi hiyo iko kazi. Yabidi uruke, uzunguke, ukwepe, uteme, umeze, uviringane, uzugane kwanza na ufisadi ndo' ufike mlango wa kwanza. Baada ya hapo iko mingine kama saba, ishirini hivi...

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP