Loading...

Friday, July 29, 2011

ELIMU DHALIMU/ADHIMU?

Kwenye linki hii http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/10380 kuna ripoti fupi ya utafiti unaohoji kama elimu inayotolewa nchini ni dhalimu? Je, picha zilizomo humo ikiwamo hii iliyobandikwa hapa zinaashiria kuwa si elimu adhimu?

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP