Thursday, September 8, 2011

Profiling Tanzania's Scholars in the Diaspora - 4

Full Name:
Frank Minja

Selected Text:
Neuroradiology of AIDS

Linked Profile:

2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) September 8, 2011 at 9:35 PM  

Tuna Watanzania wasomi sana huko nje. Mimi ningekuwa rais badala ya kununua mashangingi ya wabunge na maofisa wa serikali ningeanzisha programu ya kuwavutia wasomi kama hawa kurudi nyumbani; na programu hii ingefadhiliwa na pesa zinazorudishwa na mafisadi (ningewabana mpaka wazirudishe). Ukiwapa gari na nyumba wataalamu kama hawa na mishahara mizuri pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi basi wengi wanaweza kurudi. Vinginevyo wataendelea kubakia huko waliko na kutuacha tukilia eti hatuna wataalamu...

Mwalimu, naomba kuchokoza mjadala!

Chambi Chachage September 8, 2011 at 9:53 PM  

Nasikia mojawapo ya vitu wanavyotaka ni Uraia wa Nchi Mbili (Dual Citizenship).

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP