Loading...

Sunday, September 11, 2011

SIASA ZA UKANDA TANZANIA?

Chanzo:

2 comments:

kweka September 11, 2011 at 2:45 PM  

Kinadharia(theoretically),hii nchi ilishameguka zamani.Sasa tunaona hali halisi ya mmeguko huo.Sababu ziko nyingi na moja kubwa ni uongozi duni.wakati wa mwalimu mmeguko ulikuwepo ila uongozi dhabiti ulizuia kujionyesha na kukua kwa mmeguko huo.Hofu yangu ni amani ya nchi hii.Watanzania hatujazoea vurugu-tutaenda wapi?

Anonymous September 24, 2011 at 8:57 PM  

Kutumia bango kama hili kama ningekuwa ndiye mgombea ningewaambia liondolewa kwa sababu lina lengo la ukabila na kubagua watu wa kutoka eneo moja la nchi hii imenisikitisha sana na Mungu atusaidie tuimarishe utaifa wetu

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP