Loading...

Wednesday, October 5, 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA NYERERE - CHUO KIKUU DSM


CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KIGODA CHA TAALUMA CHA MWALIMU NYERERE MAADHIMISHO YA SIKU YA NYERERE


Mada: ‘Tafakuri ya kina juu ya ulimbikizaji wa kiporaji katika kilimo barani Afrika.’


TAREHE: 14 OKTOBA 2011 (IJUMAA)


MAHALI: NYERERE THEATRE ONE (CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM)


Muda: Saa 3:00 asubuhi – saa 9:30 mchana


Nyimbo/ Hotuba za Mwalimu - Maembe & Band


Mapitio ya Kitabu kinachozinduliwa:

The Agrarian Question in the Neoliberal Era: Primitive Accumulation and the Peasantry

(Utsa Patnaik and Sam Moyo)

Mpitiaji: Prof. Marjorie Mbilinyi


UZINDUZI WA KITABU -

Prof. Rwekaza Mukandala (Makamu Mkuu wa Chuo)


Mazungumzo kati ya: Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru, Prof. Issa Shivji na Dkt. Ng’wanza Kamata juu ya: “Mtazamo na Fikra za Mwalimu juu ya Wakulima na Wafugaji Wadogo


Mbongi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam:

‘Accumulation and the Agrarian Question in smallholder economies’


Mchokozi Mkuu: Prof. Issa Shivji


Wanambongi:

1. Dr. Adolf Mkenda (UDSM)

2. Prof. Utsa Patnaik (India)

3. Prof. Sam Moyo (Zimbabwe)

4. Prof. Praveen Jha (India)

5. Prof. Paris Yeros (Brazil)

6. Prof. Marcelo Rosa (Brazil)

7. Prof. Aida Isinika (SUA)

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP