Loading...

Tuesday, November 22, 2011

Filamu Ya 'Colorless' Yashinda Tuzo

"Napenda kuwafahamisha kuwa filamu fupi niliyotengeneza kwa kushirikiana na mtengeneza filamu kutoka nchini India Runjiv Kapur juu ya maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi, Colorless imeshinda tuzo ya filamu ya makala bora ya mwaka kweye tamasha la filamu la Chashama lililofanyika juzi jijini New York. http://www.chafilmfest.com/2011/2011_lb.html" - Erick Kabendera

Tazama Kipande cha Filamu Hiyo Hapa:0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP