Loading...

Wednesday, November 30, 2011

MJADALA WA ELIMU MKAHAWA WA VITABU SOMA

Wanamdahalo na Modereta:
Richard Mabala, Elizabeth Missokia, Nyanda Shuli, Elieshi Lema, Suzanne Mbise na William Chipeta

Waandaaji wakifuatilia kwa makini:
Hobokela Magale wa BSAT na Demere Kitunga wa Mkahawa wa Vitabu Soma (Soma Book Cafe)

Wanazuoni na Wanabidii tuliwakilishwa:
Masozi Nyirenda, Adam Lingson & Yona Fares Maro

Ayub Rioba akiendeleza utamaduni wa kusoma

Mgeni Rasmi, Marystella Maufi Wassenge kutoka Wizara ya Elimu, akilisemea suala la kufuta ujinga - kulia ni Walter Bgoya wa Mkuki na Nyota, kushoto ni Hobokela Magale wa BSAT

Elimu na Kufuta Ujinga kwa njia ya sanaa

Muziki Rafiki (wa Elimu):
Joseph Payne akiimba na kucharaza nyuzi za gitaa

Rage akighani kuhusu uhuru na ukombozi

Vitabu vilivyokwishatumika vikiuzwa kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Kampeni ya Kufuta Ujinga

Mgeni rasmi katika duka la vitabu Mkahawani Soma

Washiriki wakiingia Mkahawani Soma

Mandhari ya Mkahawa wa Vitabu Soma

Wadau wa 'Chipuza Afrika' (Blooming Afrika) wakijipanga mdahaloni

Kusoma ni popote - hata chini ya mwembe au mnazi

Kusoma kwa furaha huendani na kulegeza makoo na kutuliza matumbo

Kizazi kipya kimedhamiria kuutokomeza ujinga kwa vitendo

Nyuma ya pazia - Rehema Chachage na wadau wakifanya maandalizi

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP