Loading...

Sunday, December 4, 2011

kicheko cha kiwekezaji na barua ya wazi kwa balozi

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma ameandika barua ya wazi kwa Mjumbe 'mpya' na mwenye ushawishi mkubwa wa kampuni inayojiita African Barrick Gold (ABG). Barua hiyo ambayo bahati mbaya au nzuri imeandikwa kwa lugha ya Kiingereza inapatikana hapa http://zittokabwe.wordpress.com/2011/12/02/an-open-letter-to-balozi-mwapachu-on-abg-crosslisting/ . Mjumbe huyo wa bodi anajiandaa kuijibu kwa kina barua hiyo. Ni matumaini ya Udadisi kuwa mjadala huu wa vinara wa sekta ya madini utatafsiriwa kwa Kiswahili na kusomwa na Watanzania wengi tunaojiuliza: Kulikoni Utajiri wote huo wa Madini Tanzania bado Nchi i Maskini?

"You will as well note that while ABG declares profit in London, pays dividends and even corporate tax at domicile, no single ABG subsidiary in Tanzania declared profit and paid corporate tax in 2010. Bulyanhulu Goldmine (Kahama Mining ltd), NorthMara Goldmine ltd and Pangea Minerals (owning Tulawaka and Buzwagi) all didn’t pay corporate tax in Tanzania in 2010, but ABG posted an income tax expense as shown above. From my knowledge of International Taxation, it seems ABG is enjoying a Double Taxation Treaty(DTT) between Tanzania and UK which is unfair in all measures. I am kindly asking you Balozi to consider this matter and raise it in your Board meetings so that ABG either relocate to Tanzania as its HQ or subscribe to a system whereby it pays its corporate tax at source rather than at domicile (with 5 officials only)... In real sense there is no ABG in Tanzania but Bulyanhulu Goldmine ltd, NorthMara Goldmine ltd and Pangea Minerals ltd"

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP