Loading...

Monday, December 5, 2011

Kitabu Kinachoelezea Biashara ya Rada kati ya Kampuni ya BAE Systems na Serikali ya Tanzania

"The Shadow World Inside the Global Arms Trade, kilichoandikwa na Andrew Feinstein kimezinduliwa jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Andrew ni mbunge wa zamani chini Afrika ya kusini kupitia tiketi ya chama tawala na aliyevujisha siri ya biashara ya silaha kati ya kampuni ya BAE systems na serikali ya Afrika ya kusini. Kitabu hicho pia kimeongelea kwa kirefu juu ya biashara ya rada kati ya BAE Systems na serikali ya Tanzania. Hivi kimeanza kuuzwa madukani katika nchi mbalimbali" - Mwanazuoni

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP