Loading...

Monday, March 12, 2012

ANA KWA ANA NA ANNA - MAMA SHUJAA WA CHAKULA

Clara Herrero, Anna Oloshuro Kalaita na Mwanahamisi Salimu - Wanaoxfam na Mama Shujaa wa Chakula baada ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
Mdau wa Blogu ya Udadisi Afurahia kukutana na Wanaharakati wa Haki za Ardhi na Uzalishaji wa Chakula Kupitia Vuguvugu la Grow leo alasiri.
Kwa taarifa zaidi kuhusu Mama Shujaa wa Chakula tembelea linki hii:

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP