Loading...

Sunday, March 11, 2012

TASWIRA YA MUUNGANO KATIKA MIZANI!

Hoja za Profesa Abdul Sheriff kuhusu Muungano huwa zinaibua tafakuri tunduizi. Sasa kaja na hii taswira ya mizanihapo juu. Soma kuhusu mizania hiyo hapa: http://zanzibaryetu.wordpress.com/2012/03/11/zanzibar-yasidiwa-uzito-na-tanganyika/ . Pia soma hili jibu lake kwa Profesa Tibaijuka: http://www.mzalendo.net/habari/jibu-kwa-prof-tibaijuka-kutoka-kwa-prof-abdul-sherif. Na pitia hiyo sura yake kuhusu Katiba na Masuala ya Muungano iliyopo katika kitabu hiki: http://www.kituochakatiba.org/index2.php?option=com_docman&task=doc_view&gid=1192&Itemid=36

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP