Loading...

Monday, April 9, 2012

KUMSAIDIA LULU KISAIKOLOJIA NA KISHERIA

6 comments:

Anonymous April 10, 2012 at 10:31 AM  

Mheshimiwa Halima Mdee, nadhani hoja yako ya kutoa wito wa kumsaidia huyu binti kisaikolojia na hata kusaidia familia yake ni muhimu sana.. ila naweza kusema kuwa hapa Tanzania mara nyingi tumekuwa tunatumia mtindo wa uongozi wa "management by crisis", yaani hadi tatizo litokee ndiyo tunakurupuka kutumia nguvu nyingi kuweka mambo sawa na kujipatia umaarufu.. huwa hatuna mipango ya kuweka mipango ya kuzuia majanga yasitokee.. hebu tujiulize.. hivi mheshimiwa hamkuwahi kusikia kuwa huyu binti ameanza tabia ambazo si sawa (kunywa pombe, kwebnda nite clubs, mahusiano ya kimapenzi)kulingana na umri wake? sheria za nchi zinakataza watu walio chini ya miaka 18 kufanya hayo.. najua tulijua.. lakini kuna hata mara moja mheshimiwa ulichukua nafasi kumuita na kuongea na huyu binti jinsi ya kuwa na maadili? au kuna mabinti na vijana wangapi ambao wameingia katika tabia ambazo ni kinyume na maadili na sheria za nchi.. na wengine wako ndani kama huyu binti.. je, mheshimiwa umefanya mipango gani kujenga mazingira ya kupewa ushauri nasaha na kupata msaada wa sheria?

Mimi naomba tuwe consistence kwenye mipango yetu na maamuzi yetu.. tusikurupuke.. tuwe na mipango ya kudumu kutatua matatizo yanayotukabiri.. hebu mheshimiwa washawishi wenzako muwe na mipango ya kudumu kusaidia vijana wetu.. najua tunayaona na tunazika vichwa chini kama mbuni.. hebu mheshimiwa anza kampeni ya wazi kunusuru vijana. Masozi Nyirenda

Anonymous April 10, 2012 at 1:00 PM  

Thanks to J.Mgumia for coming up with this view over the incident that has happened recently..
It's true that Lulu needs our help,instead of conemning her for the action which is still under investigation
And of which we are not sure of..this is a call for every one in our community to re-think on such an issue!

Anonymous April 10, 2012 at 1:00 PM  

Thanks to J.Mgumia for coming up with this view over the incident that has happened recently..
It's true that Lulu needs our help,instead of conemning her for the action which is still under investigation
And of which we are not sure of..this is a call for every one in our community to re-think on such an issue!

Anonymous April 10, 2012 at 1:30 PM  

Thanks to J. Mgumia's view, we need to re-think about this incident rather than condemning her
The matter is too serious and not jumping to conclusions basing on only one side!
May God Rest his Soul in piece, but also let justice take its ways!

Anonymous April 10, 2012 at 6:17 PM  

MI NAONA NI MAPEMA KUMHUKUMU NA NI MAPEMA PIA KUMTETEA,TUACHE UCHUNGUZI UENDELEE ILI MWISHO WA SIKU HAKI ITENDEKE KWAKE NA KWA KANUMBA PIA. KAZI YETU SIYO KUHUKUMU WASIO WAHALIFU WALA SIYO KUTETEA WAHALIFU. WATANZANIA TUJIFUNZE KUACHA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE, HATA MAFISADI WA INCHI HII HAWACHUKULIWI HATUA KWASABABU YA KUONEANA HURUMA TU.

Anonymous October 17, 2012 at 8:10 PM  

Mr Masozi Nyirenda " Nina wasiwasi na Busara zako" Mara ngapi umekosea na kusamehewa, au la umejikwaa na kubadilika.

True mtoto huyu anaitaji msaada tena wa karibu, naye ni mtoto sina uhakika ni kweli au hapana ya kufanya makosa hayo. Lkn anaitaji kusaidiwa na kujengwa kisaikolojia. Kwani watoto wako wakikosea unawatelekeza au hapana. Think before you speak out. Halima mdee songambele na campaign ya kumsaidia Binti huyu.

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP