STICK TO AFRICA'S PLANS/ACHA AFRIKA IJIPANGIE
SIGN "Stick to Africa's Plans:
KUTOKA KWA MDAU:
Wandugu, Lets shout out to G8!
G8 meeting unaanza kesho, Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa marais wengine walioitwa ku-sign "new alliance" inayotaka tufungue milango kwa wawekezaji wa kilimo na kuhalalisha uporaji wa ardhi, kama rafiki, mtanzania, mwafrika na mzalendo, tafadhali, fuata link hii na utoe maoni yako, kumsihi asikubali kufanya hiyo:
Stick to Africa's Plans


0 comments:
Post a Comment