Wednesday, July 4, 2012

mabadiliko huanza nawe/change begins with you

 KABLA/BEFORE
BAADA/AFTER

"Napenda kuwashukuru sana wana Mlimani Primary School alumni waliochangia kwa hali na mali siku yetu ya 'Giving Back to Mlimani Day'. Shukurani kwa walio changia fedha taslimu, vifaa vya ujenzi na hasahasa waliojumuika nasi kuchangia nguvu kazi. Tumeweza kusakafia madarasa 4, kupaka rangi madarasa 6 na kuweka chipping mkondo mzima. Shukurani kwa Mwalimu Mkuu na walimu wenzake kwa ukarimu wao, Liquid Lab kwa nyama choma na cocktails za nguvu na DJ kwa kutuburudisha na old school" - Tahir Haroub Othman

"Change begins with you!! Thanks to my fellow Mlimani Primary School Alumni, hard work, great bbq, killer cocktails and great music. Pamoja we def. can, brick by brick!" - Brick By Brick, Book By Book

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP