Loading...

Monday, January 21, 2013

Mrejesho: Ziara ya Kumtembelea Prof. Wamba

"Ziara ya kumtembelea Profesa Wamba Dia Wamba ilienda vizuri na hizi ni baadhi ya picha za tukio zima. Picha hizi zimepigwa na Moses Gasana. Baada ya mazungumzo ya aina mbalimbali Dkt. Aldin Mutembei alimpa Prof. Wamba zawadi ya kitabu chake cha KORASI KATIKA FASIHI kama unavyoona katika picha.  Majina ya waliosimama katika picha kutoka kushoto ni Adam Fungo, Mishy Singano, Adam Foya, Prof. Wamba, Yona Maro, Dkt. Aldin Mutembei na Moses Gasana. Tunashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha ziara hii ya kumtembelea Prof. Wamba Dia Wamba" - Yona Maro

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP