Loading...

Monday, March 4, 2013

Buriani Bernadeta

Nasikitika kutangaza kifo cha mwenzetu, Bernadeta Minja <https://www.facebook.com/bernadeta.minja>, kwa mujibu wa taarifa hiyo hapo chini. Alikuwa ndio anachipukia katika fani ya uchumi. Daima tutamkumbuka kwa kusambaza kicheko na furaha kwa kila aliyekutana naye. Tupambane na hili janga la kitaifa la ajali za barabarani linalotuongezea 'makovu ya maisha'!0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP