Loading...

Wednesday, March 27, 2013

Hatimaye Haki Iliyochelewa Yapatikana

Mwaka 2008 Udadisi ilichapisha humu mada hizi tatu : Mwekezaji Anapotumia Wanakijiji Kukutisha,  na Fatal Wildlife Attraction na Ardhi Isiyo Ya Mtu - 'No Man's Land'? Pia Udadisi ilishiriki katika utafiti huu Wildlife Conservation for Tourist Investments or Villagers' Livelihoods? A Fact-Finding Mission Report on Vilima Vitatu Village Land Dispute - Babati District kuhusu sakata hilo lililozaa kesi. Udadisi imefarijika sana kupata taarifa hizi kuhusu ushindi wa Wanakijiji katika kesi hiyo:

"Please see the attached document of the Court of Appeal decision in Civil Appeal No. 77 of 2012. It the first time in history of Datoga pastoralists' community land struggles. They have won the legal battle in a case famously known as the "Vilima Vitatu Case". The Case was between Udghwenga Bayay and Others v Halmashauri ya Kijiji cha Vilima Vitatu and Jumuiya ya Hifadhi Wanyamapori – Burunge (“Burunge WMA”). This is a success for all who participated in different ways to make sure that Datoga secure their land rights (You may also read a fact finding Mission report done way back in 2008 at www.hakiardhi.org)" - http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/18671

"Kwa taarifa ni kwamba ule mpambano wa kesi ya Wabarbaig kuhamishwa pale Maramboi tumeshinda. Mahakama ya Rufaa imeamuru wananchi wasiondolewe kwenye lile eneo kwa kuwa taratibu za kuwahamisha hazikufuatwa...wamefurahi sana" - Mwanaharakati

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP