Loading...

Friday, April 26, 2013

Mtandao Wa Wanazuoni/An Intellectual Network

Huu ni mtandao unaowaunganisha ‘Wanazuoni wa Kitanzania’ na 'Marafiki wa Kweli wa Tanzania' walio katika taaluma na fani mbalimbali. Mtandao huu ni jukwaa la kubadilishana mawazo na ufahamu/taarifa mbalimbali kuhusu maendeleo ya kifikra, kiutamaduni, kijamii, kisiasa, na kiuchumi nchini Tanzania, barani Afrika na Duniani kwa ujumla.

This is a network that connects ‘Tanzanian Intellectuals’ and 'True Friends of Tanzania' from different disciplines and professions. The network is a space for exchanging ideas and knowledge/information on and about the intellectual, cultural, social, political, and economical development of Tanzania, Africa and the World at large.

------------------------------
Caution: Only post information that has been released for public consumption as our forum is a public domain accessible to everyone - Unless of course you can take full responsibility for releasing classified information when queried.

Angalizo: Tuma tu taarifa zilizoruhusiwa kutoka kiuwazi kwa kuwa huu ni ulingo wa umma ulio wazi kwa watu wote - Unaweza kutuma tu taarifa za siri kama uko tayari kuwajibika kwa hilo ukiulizwa.
------------------------------

http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP