Loading...

Tuesday, July 9, 2013

Wanazuoni Wawezeshaji na Wawezeshwaji

Salaam Ndugu Wanazuoni,

Baada ya kupata muitikio mzuri sasa tuanze utekelezaji. Wawezeshaji wa Kuwezeshana katika Udhamini, Udahili na Ushirika wajiorodheshe kwenye orodha hii: http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/database?method=reportRows&tbl=2. Na wawezeshwaji wajiorodheshe kwenye orodha hii: http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/database?method=reportRows&tbl=3. Unaweza kujiorodhesha kote.

Orodha hizo mbili zitatumika kumwambatanisha mwezeshaji na mwezeshwaji wake ili uwezeshaji uanze kwa vitendo. Walioambatanishwa watawasiliana ambapo mwezeshaji atamwezesha mwezeshwaji kutafuta ama kutuma maombi ya udhamini, udahili au ushirika anaouhitaji. Nimeshajiorodhesha kote na ku(b)ainisha maeneo ya kuwezesha na ya kuwezeshwa, kila mtu ajisikie huru kuandika maeneo yake kivyake.

* Pia tunakumbushwa kuandika wasifu wetu kwenye orodha hii ya wadau wote: http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/database.

Alamsiki,

Chambi

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP