Friday, November 29, 2013

Mada zinazowahusu/za Zitto na Kitila Udadisi

Baada ya kupokea shutuma nzito kuhusu kuchapisha mada zisizomtakia mema - kisiasa, kiajira na kimaisha - Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe (MB) katika blogu ya Udadisi, blogu hiyo inakuletea, hapo chini kabisa, mkusanyiko wa mada zinazomhusu Zitto na Dakta Kitila Mkumbo ambazo waliziandika wenyewe ama zilizoandikwa na wengine kuhusu wao, harakati zao n.k.  

Kitakwimu, Zitto ndiye mwanasiasa ambaye ana mada nyingi zilizochapishwa katika Udadisi kuliko mwanasiasa yeyote wa Tanzania na zaidi ya hilo yeye ndiye mtu pekee, ukiacha mratibu mwandamizi wa blogu hii, ambaye ana mada nyingi kuliko wachangiaji wote. Na si hilo tu, mada nyingi zilizochapishwa kwenye Udadisi zina mrengo chanya kuhusu yeye. Cha kusikitisha/kushangaza ni kuwa japo mada ambazo zina mrengo unaoonekana ni hasi ni chache sana - mbili au tatu hivi - uchapishwaji wake ndio umezaa tuhuma/madai hayo yanayopingana na haki ya msingi ya kutoa  uchambuzi huru. 

Udadisi ni ulingo wa mgongano wa mitazamo na misimamo hivyo utaendelea kuchapisha mawazo na maoni yanayokinzana kuhusu watu na mada ambazo ni muhimu kwa Taifa la Tanzania, bara la Afrika na Ulimwengu kwa ujumla. Pia Udadisi haihitaji kupata rhuksa au kupokea maelekezo yoyote kutoka kwa mtu yeyote, awe ni ndugu, jamaa au rafiki, kuhusu nani au nini cha kuchambua au kutochambua, kuposti au kutoposti kabla, wakati na hata baada ya kufanya hivyo. Kilicho muhimu ni kuzingatia uhuru wa maoni na hakimiliki pale ambapo mada husika zimeandikwa na waandishi wengine. Blogu ya Udadisi inamtakia kila la heri Zitto na Kitila katika kipindi hiki kigumu sana katika maisha yao ya kisiasa na haitasita kuposti mada zinazoakisi, kubashiri au kuchambua kile inachokiona ndicho kinaendelea katika medani ya siasa nchini. 

"KUIFUTA POAC: MAKINDA ADHIBITIWE AU TUSAHAU?" - http://udadisi.blogspot.com/2013/02/poac-kufutwa-makinda-adhibitiwe-au.html

"ZITTO ON THE FUTURE OF TANZANIA'S MINING SECTOR" - http://udadisi.blogspot.com/2012/12/zitto-on-future-of-tanzanias-mining.html

"SIKILIZA & SOMA: HOJA YA ZITTO YA KUREJESHA FEDHA" - http://udadisi.blogspot.com/2012/11/sikiliza-soma-hoja-ya-zitto-ya.html

"ZITTO: TUSISAHAU JAMBO HILI - AZIMIO LILISEMA!" - http://udadisi.blogspot.com/2012/09/zittotusisahau-jambo-hili-azimio.html

"ZITTO NA LWAITAMA: 'DENTI' ANAPOMSAHIHISHA 'TICHA'" - http://udadisi.blogspot.com/2012/05/zitto-na-lwaitama-mwalimu-na-mwanafunzi.html

"HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU" - 

"SAHIHI 70: G71 YAWEKA HISTORIA" -

"ZITTO: TANESCO, MGAWO NA STAHILI YA JENERETA" -

"ARDHI (SIO FEDHA) KUAMUA UCHAGUZI ARUMERU?" -

"TAIFA MSIBANI, UMOJA WETU NA UTU WETU SHAKANI" -

"MAZUNGUMZO YA TANZANIA NJEMA YAANZA RASMI!" -

"KICHEKO CHA KIWEKEZAJI NA BARUA YA WAZI KWA BALOZI" - http://udadisi.blogspot.com/2011/12/kicheko-cha-kiwekezaji-na-barua-ya-wazi.html

"ZITTO: "NDIO NATAKA KUWA RAIS" -

"KUTOKA 1995 KUELEKEA 2015" -

"HOJA ZA OMAR ILYAS DHIDI YA UCHAMBUZI WA LWAITAMA" -


"KITABU KIPYA CHA PROFESA SHIVJI KUZINDULIWA APRILI" -

"MJADALA WA SAKATA LA CHADEMA UNAENDELEA" -

"UZITO WA WITO WA ZITTO DHIDI YA VIZITO" -

"OIL&GAS IN TANZANIA:TO FAST-TRACK OR TO BACKTRACK?" -

"MASIHA WA TANZANIA 2015 NI NANI?" -

"UCHAKACHUAJI WA HOJA MUHIMU YA HALIMA MDEE!" -

"MJADALA WA UJANA NA URAIS WAZIDI KUPAMBA MOTO" -

"UJANA, UZEE NA URAIS" -

"BURIANI REGIA MTEMA (1980 - 2012)" -

"TUNAANDAA KATIBA AU TUNAANDIKA KATIBA?" -

"MWAMKO WA VIJANA KISIASA NA HATIMA YA TANZANIA" -

"WAITING FOR POWER: CITIZENS’ PLIGHT DURING ENERGY CRISES - AS IT WAS IN 2008 AND 2009 SO IT IS IN 2010!" -

"WHAT WE DON’T KNOW ABOUT DOWANS" -

"WATANZANIA WAJIZATITI/WAJIDHATITI TWITTER!" -

"NYERERE NA POSHO" -

"MBONA WANAFUNZI WANAFELI KISWAHILI PIA?" -

"ATHARI ZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE" -

"EXCELLENT MESSAGE FROM EX TANZANIA PREMIER ON GRAFT IN EA" -

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP