Wednesday, January 29, 2014

Shindano la Fasihi kwa Shule za Sekondari 2013/2014

Andika na Soma -Shindano la fasihi kwa shule za Sekondari 2013/2014 Kilele chake ni Aprili 2014. Mwisho wa Kutuma barua ni tarehe 31 Januari 2014. Waandishi 10 bora watapata fursa ya mafunzo ya uandishi na washindi watapata zawadi za fedha taslim na vitabu kwa ajili yao na maktaba za shule zao.Taarifa zaidi angalia tangazo la shindano.

Harambee ya Kuchangia Shule ya Mazinde Juu

Mwalimu Mkuu na Bodi ya Shule ya Sekondari St. Mary's Mazinde Juu, (Lushoto) wanawakaribisha kwenye Harambee ya kuchangia Maendeleo ya shule hiyo. Shughuli hiyo itafanyika Februari 8, mwaka huukuanzia saa 04.00 asubuhi, Msimbazi Centre, Dar es Salaam.  Kwa maelezo zaidi wasiliana 0754 280 298 na 0713 548 813 Wanafunzi mliosoma St. Mary's Mazinde Juu: Mkisikia/kusoma tangazo hili wajulisheni na wengine.

Shiriki kuleta maendeleo ya elimu Tanzania!

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP