Wednesday, January 29, 2014

Shindano la Fasihi kwa Shule za Sekondari 2013/2014

Andika na Soma -Shindano la fasihi kwa shule za Sekondari 2013/2014 Kilele chake ni Aprili 2014. Mwisho wa Kutuma barua ni tarehe 31 Januari 2014. Waandishi 10 bora watapata fursa ya mafunzo ya uandishi na washindi watapata zawadi za fedha taslim na vitabu kwa ajili yao na maktaba za shule zao.Taarifa zaidi angalia tangazo la shindano.

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP