Thursday, October 9, 2014

Poetry Slam Workshop with Loyce Gayo: 12/10/2014

Hello Poets and poetry lovers,

Hope your well, I'm happy to let you know that we've gained a new member who is a 'Spitshine Poetry Slam' Champion and Brave New Voices Alumni from Texas University in USA.

Natumaini mu wazima wa afya na akili, Waka inafurahi kupata mwanachama mwingine ambaye ana tuzo ya 'Spitshine Poetry Slam' na mmoja wa 'Brave New Voices Alumni' toka Texas Marekani.

Her name is Loyce Gayo; A native of Tanzania. She is going to be running a Poetry Slam Workshop this Sunday 12th Oct'14 from 1:00pm-3pm. 

Kwa jina ni Dada Loyce Gayo, mzawa wa Tanzania, yeye yupo tayari kujumuika na washairi, wana mistari wengine kutuelewesha zaidi. Juu ya ufundi wa 'kuzozana na ushairi jukwaani' (i know someone should translate slam better...)

At Gabe Africa which from the 'St Peters junction as though coming from Morroco, you'll take your first right (the corner that can lead to leaders club) then first left then again first left after a bar which goes into the residential flats in the area. Here you'll find a small car park and voila you're at Gabe Africa offices.

[...]
 Warsha itafanyika Jumapili hii saa saba mchana hadi saa tisa; pale Gabe Africa (ofisi za Kingo), Oysterbay DSM. Ni kona ya kwanza kulia baada ya ofisi za DSTV kama umetokea St Peter kuelekea mjini. Nenda na hii njia kama waenda Leaders Club na kuchukua kona ya kwanza kushoto then ni kona ya kwanza tena kushoto baada ya kupita Bar...utainigia kwenye flat za maeneo haya...

Hapo waweza kuulizia ofisi za Gabe...[...]

Karibuni nyote....

Coordinator Caroline Uliwa


0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP