Thursday, February 19, 2015

Je, Albino waombe hifadhi ya ukimbizi nje ya nchi?

"Ni kifanyike sasa? Maana inavyoonekama kama taifa tumeshindwa kabisa kuwalinda albino. Tuchukue hatua kwa kuwasaidia kwa kuwapeleka ofisi husika za kimataifa na kuwaombea ukimbizi?" - 

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP