Monday, February 16, 2015

Kitabu cha Visa Mkasa vya Ujamaa Kimewasili Jijini

Hatimaye kile kitabu kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu sana na Wanazuoni kimewasili kwenye Mkahawa wa Vitabu Soma (Tazama ramani hapo chini kabisa). 

Ingawa bei yake ni Shilingi 51,000/= kwa nakala 100 za mwanzo Soma Book Cafe itakiuza kwa Shilingi 42,000/= kwa oda za nakala 5 na kuendelea na Shilingi 45,000/= kwa oda za nakala moja moja. 

Washapishaji  - Crossroads - pia watafurahi kuona Wanazuoni wakijitokeza kukichambua/kukihakiki.

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP