Thursday, February 5, 2015

Onesho la Parapanda Theatre: 13 Februari 2015

Wanazuoni

Karibu sana kwenye onesho la MWARUBADU linaloletwa kwenu na Parapanda Theatre, yes I mean Parapanda Arts (anagalia kiambatanisho)

Siku ya Ijumaa, tarehe 13 Feb 2015 katika Ukumbi wa Russian Cultural Centre kuanzia saa 1 jioni. Kiingilio ni sh 5,000 tu!

Tiketi zinapatikana Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na ukipenda ni inbox vicensiashule@yahoo.com nitakupatia. 

Please plan not to miss, with your family, colleagues and friends. Invite your 'enemies too'. It's one of the 'best' theatre shows for 2015! You will never regret

Karibu tuchagie 'uchumi wa ndani'*;) winking

vicensia
_,_.___

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP