Saturday, September 5, 2015

Makaa ya Ukawa

Mambo yameshaiva Dodoma
Lowassa kakatwa ah kakatwa
Malimao ya Gwajima yadoda

Mambo yameshapikwa Ufipa
Mshenga 'kaposa' ah 'kaposa'
Ganda la muwa la jana lavunwa

Mambo yameshapakuliwa Serena 
Slaa kawaka ah kawaka
Makaa ya ukawa yawaka

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP