Friday, September 18, 2015

Somo la Chumvi na Asali-Lessons of Salt and Honey

Jarida la Fasihi kutoka Kenya lijulikanalo kama Jalada limechapisha mkusanyiko wa hadithi/visa mbalimbali kutoka katika bara la Afrika vilivyoandikwa kwa lugha ya Kiingereza na lugha za Kiafrika. Hadithi iliyotungwa na Mtanzania Mohamed Yunus Rafiq kwa Kiingereza na Kiswahili inaweza kusomwa kwenye viunganishi vilivyowekwa hapo chini kabisa.

Jalada, a literary magazine from Kenya, has published an impressive collections of stories across the continent of Africa in both English and other African languages. A story from Tanzania by Mohamed Yunus Rafiq, in both English and Swahili languages, can be read in the links below, respectively.


0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP