Wednesday, September 2, 2015

Uadilifu unaweza kuiuliza 'LIABILITY' ina/ni 'ASSET'?


"Kwa kifupi sana, baada ya tarehe 11 ya mwezi wa 7 pale Dodoma jina la Edward Lowassa kukatwa, mshenga wake anaitwa Bishop Gwajima, ambaye ni rafiki yangu na ni rafiki yake vile vile Edward Lowassa, alinipigia simu akiuliza kwamba 'sasa kule Dodoma kumesha..mambo yameshaiva, nini kifuate?' Nikamjulisha kwamba naomba tuwasiliane na Mwenyekiti, Mheshimiwa Freeman Mbowe, na mimi nilikuwa ofisini kwangu, tukaenda ofisini kwa Mheshimiwa Mbowe, nikamjulisha, tukampigia Gwajima akafika baada ya dakika kama ishirini, tukajadiliana uwezekano ni nini?" - Dakta Slaa: http://www.wavuti.com/2015/09/video-dk-slaa-azungumzia-mustakabali.html

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP