Thursday, November 12, 2015

UZINDUZI WA DIWANI YA MAGEUZI - PROFESA KAHIGI

Ndugu, Jamaa na Rafiki wa Maarifa, Usomaji na Maendeleo tunapenda kukukaribisha kwenye Uzinduzi wa Diwani ya Mageuzi ya Mashairi ya Prof. Kulikoyela. K. Kahigi.

Dear Esteemed Friend of SOMA, noticing your devotion and passion for knowledge and development, Soma would like to invite you to the launch of a book - POETRY ANTHOLOGY - by Prof. Kulikoyela Kahigi.

Uzinduzi utafanyika siku ya Jumamosi - 14/11/2015, nao uzinduzi utafanyikia MKAHAWA WA VITABU - SOMA BOOK CAFE, 53 Mlingotini Close,Regent Estate.

The launching shall be held and hosted at Soma Book Cafe, 53 Mlingotini Close, Regent Estate on Saturday - 14/11/2015.

Shughuli itaanza saa 9:00 alasiri mpaka saa 10:30 jioni. Uzinduzi utakolezwa na Utambaji/ Ughani wa Mashairi kutoka katika Diwani itakayozinduliwa.

The event shall commence at 1500hrs - 1630hrs. The event shall include the recital of some of the poems in the anthology.

Kwa mawasiliano zaidi
Mulokozi: 0756-795674
Jasper: 0712-568699

Karibu na Asante. 


ADDRESS: Mlingotini Close, Plot Number 53 Regent Street - Mikocheni A, Dar es Salaam
PHONE: 0673014071

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP