Saturday, December 26, 2015

Shivji: Magufuli na Ujenzi wa Uchumi wa Kitaifa

"Katika mahojiano haya Prof. Shivji anaainisha mwelekeo wa Rais Magufuli, kwa kuchambua hotuba ya Rais kwa wafanyabiashara tarehe 3 Desemba 2015. Hoja ya Prof. Shivji ni kwamba mwelekeo wa Rais ni kuchukua hatua za awali za kujenga uchumi wa kitaifa (national economy), na katika mahojiano haya Prof. Shivji anachambua sifa na masharti ya uchumi wa aina hiyo" - http://www.checheafrika.org/prof-shivji-azungumza-na-azamtv-siku-50-za-rais-magufuli-na-ujenzi-wa-uchumi-wa-kitaifa/

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP