Saturday, July 9, 2016

Miaka Kumi Baadaye: Itikeli ya Chachage (1955-2006)

"Maishani mwangu nimejifunza kuwa mvumilivu, kutafuta ukweli - japo kwa kiwango changu na ujinga wangu, na kutamani kufanya yaliyo haki.... Jaala yetu imekuwa moja. Na tuwatakie heri wajao yasiwapate haya....Siku yangu ya kufa ijapo, mawazo yangu ya mwisho yatakuwa juu yenu nyie, wala msinililie. Hakuna sababu. Nikumbukeni daima." - Sudi ya Yohana - C.S.L Chachage (1981: 99): Dar es Salaam University Press

0 comments:

Karibu kwenye ulingo wa kutafakari kuhusu tunapotoka,tulipo,tuendako na namna ambavyo tutafika huko tuendako/Welcome to a platform for reflecting on where we are coming from, where we are, where we are going and how we will get there

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP